MAPENZI MOTO MOTO:RASHID ABDALLA LEAVES MANY MEN ENVYING HIS LOVE FOR LULU HASSAN AFTER HE WROTE HER THIS POWERFUL MESSAGE

 

 

#sisemikitu Ukiniuliza @loulou_hassan ni nani kwangu daima upata ugumu kutoa jawabu kwa sababu yeye ni zaidi ya kila jibu langu. Mpenzi mzuri ni anayefahamu mapungu na udhaifu wako kabla kuzingatia ubora wako. Hakuna zaidi ya asante kwa Maulana pamoja na kumuomba atujalie baraka tele na maelewano 2017. Zile fitina na changamoto tuendelee kuziangalia kitoto. Mola akutangulie daima @loulou_hassan . Kwa wale “wapenzi watazamaji” asanteni kwa kumtizama kwani nyinyi ndio yeye lakini MIMI ndiyo YEYE Lol . Kila jema tunapoanza 2017. Wewe ndio mwaka wangu @loulou_hassan na hii 2017 itakosa maana bila uwepo wako maishani mwangu. Mungu atulinde sote

This is however not the first time the couple is appreciating each other on social media. They have always been the envy of everyone as their love seems perfect even when they face challenges behind closed doors.

Well, if there are any men like Rashid Abdalla left, then I don’t see some us remaining single this 2017.

Advertisement